Diamond Platnumz Sikomi Lyrics Download Diamond Platnumz Sikomi {Verse 1} wanasemanga mapenzi safari Unavyopita ndo jinsi unajongea Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea niliposikia gabari yakisifika nikakesha nangojea ah Akabariki jalali na nikawika muziki Nikautea Ile kumpaka maka Nikajia ndio kwa gomo movi Kumbe mapenzi hayataki haraka Nikama tango natia tu chumyi